Waik Mwaikusa  [BUSINESS & SELF-CULTURE]

楽天市場検索
洋書
BUSINESS & SELF-CULTURE

4件中 1件 - 4件  1
商品説明価格

Wakae Pamoja kwa Umoja【電子書籍】[ Msafiri J. Mwaikusa ]

楽天Kobo電子書籍ストア

Kitabu hiki kinahusu Umoja kiBiblia; maana ya umoja, chanzo chake, umuhimu wa umoja, mambo yanayovunja umoja, jinsi ya kutengeneza umoja n.k.
Lengo ni kusaidia Wakristo kuelewa umuhimu wa umoja ili kubadilisha maisha yetu kiroho na kimwili kuweza kupokea baraka zote tulizokirimiwa katika Kristo Yesu. Kisome ukielewe na kuwafundisha wengine. Kitabu hiki ni muhimu sana kwa kila Mkristo lakini hasa viongozi wa huduma mbalimbali na makanisa.
画面が切り替わりますので、しばらくお待ち下さい。 ※ご購入は、楽天kobo商品ページからお願いします。※切り替わらない場合は、こちら をクリックして下さい。 ※このページからは注文できません。 450円

Biblia Inasema Usiogope【電子書籍】[ Msafiri J. Mwaikusa ]

楽天Kobo電子書籍ストア

Kwa sababu ya woga watu wanapoteza fursa nyingi sana maishani. Wengine wamepoteza nafasi ya kupata mchumba mzuri kwa sababu ya woga, wengine kwa woga siku ya interview wakakosa kazi na bado wengine fursa za biashara zikawapita. Lakini Neno la Mungu liko wazi kwamba huna haja ya kuogopa yeyote wala chochote ila Mungu Mwenyezi. Katika kitabu hiki, Biblia Inasema Usiogope, mistari mbalimbali katika Maandiko Matakatifu inachambuliwa kumpitisha msomaji kuanzia kuona kwamba woga ni dhambi hadi namna za kuishinda hofu na kutembea jasiri kama impasavyo mtu mwenye imani.

Hiki ni kitabu cha mafundisho ya Biblia yanayomfaa kila mtu lakini zaidi yule aliyebanwa na changamoto za kimaisha zinazomfanya ajawe na hofu kwa sababu ya kutoona uchochoro wa kutokea. Soma kitabu hiki na hutabaki mdhaifu tena.
画面が切り替わりますので、しばらくお待ち下さい。 ※ご購入は、楽天kobo商品ページからお願いします。※切り替わらない場合は、こちら をクリックして下さい。 ※このページからは注文できません。 450円

Upako wa Kupata Utajiri【電子書籍】[ Msafiri J. Mwaikusa ]

楽天Kobo電子書籍ストア

Nguvu ya Mkristo kufanya lo lote afanyalo hutoka kwa Bwana. Hii nguvu ni Roho wa Mungu ambayo pia hujulikana kama Mkono wa Bwana au Roho Mtakatifu na katika Biblia huwakilishwa kwa picha ya mafuta, yaani upako. Hivyo Kumbukumbu la Torati 8:18 inavyosema "Bali utamkumbuka Bwana, Mungu wako, maana ndiye akupaye nguvu za kupata utajiri; ili alifanye imara agano lake alilowapa baba zako, kama hivi leo" inamaanisha Mungu anawapa upako wa kupata utajiri. Upako huu ni kwa ajili ya Wakristo pia, watu wa Agano Jipya, lakini wengi hawajui kuhusu upako huu achilia mbali namna ya kuutumia. Kitabu hiki kinafafanua fundisho hili na kuonyesha ni wapi ambapo Wakristo wanashindwa kutumia upako wa kupata utajiri kubadilisha maisha yao kiuchumi.
画面が切り替わりますので、しばらくお待ち下さい。 ※ご購入は、楽天kobo商品ページからお願いします。※切り替わらない場合は、こちら をクリックして下さい。 ※このページからは注文できません。 450円

Jina la Yesu Linaponya【電子書籍】[ Msafiri J. Mwaikusa ]

楽天Kobo電子書籍ストア

Hili ni somo la uponyaji. Ni mapenzi ya Mungu kutuponya lakini kinachotuzuia kupokea uponyaji ni kutofahamu maandiko. Ndiyo maana, Yesu akajibu, akawaambia, Je! Hampotei kwa sababu hii, kwa kuwa hamyajui maandiko wala uweza wa Mungu? (Marko 12:24). Kitabu hiki kinapambanua maandiko yanayohusu uponyaji.
画面が切り替わりますので、しばらくお待ち下さい。 ※ご購入は、楽天kobo商品ページからお願いします。※切り替わらない場合は、こちら をクリックして下さい。 ※このページからは注文できません。 450円